RAPA A$AP ROCKY AZIDI KUSOTA RUMANDE
RAPA kutoka Marekani A$AP Rocky anaendelea kusota rumande baada ya Mahakama Kuu nchini Sweden kutupilia mbali ombi lake la dhamna jana.
Mtandao wa Daily Mail umeripoti kuwa Mahaka hiyo imeamua kwamba rapa A$AP Rocky ataendelea kushikiliwa na polisi kwa wiki mbili huku upelelezi ukiendelea kuhusu tukio ilo la kumpiga shabiki june 3o mwaha huu.
Comments are closed.