The House of Favourite Newspapers

RAPA AZALEA AZAMA PENZINI NA ‘FUTBOLA’ HOPKINS

RAPA wa Australia, Iggy Azalea, hivi sasa yuko katika penzi la nguvu na mcheza mpira (football) wa ligi ya NFA wa Marekani, DeAndre Hopkins.

Hali hiyo inathibitisha uvumi wa wiki kadhaa kwamba wako katika mapenzi motomoto baada ya kuwa wanawasiliana katika mitandao

 

Comments are closed.