The House of Favourite Newspapers

RAPA OFFSET AMLILIA CARDI B BAADA YA KUACHWA (VIDEO)

Rapa Offset toka kundi la Migos amemlilia aliyekuwa mke wake Cardi B baada ya mwanadada huyo kutangaza kwamba ameamua kuachana na mwanaume huyo December 5.

 

December 9, Offset kupitia akaunti yake ya tweeter  amefunguka kwamba amemmisi mama mtoto wake huyo, “FUCK YALL I MISS CARDI

 

 

Lakini kwa upande wa mrembo huyo siku ya ijumaa December 7 akifanya shoo huko jingle ball aliweza kubadilisha mistari ya kwenye wimbo wa Motospot na kuelekezea kwenye mahusiano yao yaliyovunjika kwa kuimba, “I turn Offset on, I told him the other day, yeah, we gonna get a divorce,”neon kuhusu talaka ( Divorce) halikuwepo kwenye wimbo huo.

 

TAZAMA VIDEO YA SHOO HIYO

 

Comments are closed.