The House of Favourite Newspapers

Rasmi: Djuma Mali ya Wananchi

0

RASMI beki wa kulia wa AS Vita ya Congo DR, Djuma Shaban (28) amesaini Mkataba wa kujiunga na Wanajangwani Yanga. Picha hizo zimemuonesha Eng. Hersi Said akiwa na Djuma aliyekua anatajwa pia kuwaniwa na Simba SC wakiwa wameshika kinachoaminika kuwa mkataba.

Djuma amesaini mkataba wa kuitumikia Yanga SC kwa muda miaka miwili kuanzia kwenye msimu ujao wa mashindano.

 

Leave A Reply