Breaking News: Haji Manara Atambulishwa Rasmi YANGA – Video

Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametambulishwa rasmi na Klabu ya Yanga.

“Nimejiunga na Klabu kubwa kupita zote Afrika Mashariki na Kati, huu ukubwa lazima nifanye na klabu kubwa. Nitashirikiana na wenzangu kutimiza malengo ya Klabu.” Haji Manara.


🔴#LIVE: YANGA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


Toa comment