Rasmi Mbosso Anakukaribisha Kuitazama ‘Tamu’ Video Mpya
Msanii toka WCB, ‘Mbosso’ anaifanya wikiendi yako kuwa safi kwa video yake mpya ya Tamu.
Kenny toka Zoom Production ameiongoza video hii, kwa upande wa audio imefanywa na Lizer classic toka Wasafi Records.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.