The House of Favourite Newspapers

Rasmi: Sure Boy Mali ya Wananchi

0

Kiungo Salum Abubakar “Sure Boy” anmetambulishwa rasmi ndani ya Kikosi cha Yanga baada ya uvumi wa wiki kadhaa kuwa anakwenda Yanga kama mchezaji huru.

 

Sure boy alikuwa akiitumikia Azam FC na hivi karibuni aliingia kwenye mgogoro na uongozi wa Klabu hiyo na kusimamishwa kwa miezi kadhaa.

 

Nyota huyo aliichezea Azam FC miaka 14 kabla ya kuachana nayo juma lililopita. Huu ni usajili wa kwanza kuthibitishwa na Yanga SC kwenye dirisha hili la usajili.

Leave A Reply