Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza 2025/26 Imetoka: Wabashiri Kuvuna Maokoto ya Meridianbet
Ligi Kuu ya Uingereza imetangaza rasmi ratiba ya ligi kwa msimu wa 2025/26, ratiba iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa mpira wa miguu pamoja na wabashiri hasa wale watumiaji wa Meridianbet. Ratiba hiyo imetoka leo saa 9:00 asubuhi kwa saa za Uingereza, ikionyesha mechi 380 katika raundi 33 za wikendi na raundi tano za katikati ya wiki, huku msimu ukianza Agosti 15, 2025, na kumalizika Mei 24, 2026. Jisajili mapema na Meridianbet kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza.
Mechi ya ufunguzi itakuwa siku ya Ijumaa, Agosti 15 pale mabingwa watetezi Liverpool watakapokutana na Bournemouth, ikifuatiwa na mechi za raundi ya kwanza Agosti 16-17.
Mashabiki tayari wanapaza sauti kuhusu pambano la wikendi ya tarehe 17, ambapo Manchester United itakaribisha Arsenal katika mechi inayotazamiwa na wengi kuweka mwelekeo wa msimu. Huku wabashiri wakijipanga namna ya kusuka mikeka yao kwenye mchezo huo
Mechi zingine za pesa kwa raundi ya kwanza ni pamoja na Manchester City watakaosafiri kwenda kwa Wolves huku Aston Villa wakikabiliana na Newcastle huko Villa park.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Mechi kubwa za kutazama ukiachana na hii ya Arsenal na Manchester United ni pamoja na derby ya kwanza ya Manchester Septemba 13 na derby ya Kaskazini mwa London kati ya Arsenal na Tottenham mwishoni mwa mwezi Novemba.
Raundi ya mwisho mnamo Mei 24, 2026, itashuhudia timu zote 20 zikicheza kwa wakati mmoja, raundi ambayo kwa misimu kadhaa imekua na mvuto sana kwa kutupa michezo ya maamuzi ya ubingwa, na baadhi ya timu kupigania nafasi za juu ili kufuzu kushiriki michuano ya Ulaya.
Mashabiki wanaweza kupata orodha kamili ya ratiba kwenye tovuti rasmi ya Ligi Kuu Uingereza, ingawa tarehe na saa zinaweza kubadilika kutokana na ratiba za televisheni.
Tunashuhudia sajili za vilabu mbalimbali ikiwa ni maandalizi kuelekea kuanza kwa msimu mpya. Utamu wa ligi ya Uingereza si tu kushuhudia kandanda safi, bali ni pamoja na fursa ya kujikusanyia pesa kwa kufanya bashiri za michezo hiyo kupitia Meridianbet.
Je, Liverpool wataweza kulitetea taji lao? Au, Arsenal na Manchester City wanaweza kutoa changamoto ya kweli? Au je, timu isiyotazamiwa itaibuka? Msimu wa Ligi Kuu ya 2025/26 uko tayari kujibu maswali haya na zaidi. Kaa tayari kwa burudani kutoka ligi kuu Uingereza na pesa isiyokatika kutoka Meridianbet.