The House of Favourite Newspapers

Ratiba Ya Makundi Ya Kombe La AFCON Mwakani

south-africa-ngola-afcon-2013

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya makundi ya timu za taifa kwenye michuano ya AFCON itakayofanyika mwakani huko nchini Gabon.

Michuano hii inatarajiwa kuanza kufanyika Januari 14 mpaka Februari 5, mwakani huku viwanja vya miji minne ya nchi hiyo vikitumika ikiwemo Libreville, Franceville, Oyem-Bitam na Port-Gentil.

Makundi yatakayoshiriki AFCON mwakani.

Kundi A: Gabon, Cote d’Ivoire, Ghana, Algeria
Kundi B: Tunisia, Mali, Burkina Faso, DR Congo
Kundi C: Cameroon, Senegal, Morocco, Egypt
Kundi D: Togo, Uganda, Zimbabwe, Guinea Bissau

Comments are closed.