The House of Favourite Newspapers

Ratiba ya mazishi ya baba mzazi wa Mbunge John Mnyika

0

Mzee John

Baba mzazi wa Mbunge John Mnyika, Mzee John Michael Dalali enzi za uhai wake.

Leo Jumatano 23/03/2016 Mwili unapokelewa nyumbani, Temeke jijini Dar es Salaam saa kumi alasiri (1600 Hrs). Kisha ibada ya misa takatifu hapo nyumbani kuanzia saa 11 na nusu jioni (1730 Hrs).

Mazishi kesho, Alhamisi 24/03/2016
Ibada ya Misa Takatifu itaanza saa tano asubuhi (1100 Hrs) Kanisa Katoliki Mtoni (Mt. Josephine Bakhita)
Maziko yatafanyika katika makaburi ya Chang’ombe, Maduka Mawili kuanzia saa saba mchana (1300 Hrs).

Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. AMINA.

Leave A Reply