The House of Favourite Newspapers

Ray C Anusurika Kupigwa Risasi Saa 8 Usiku!

0

RAYCMkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.

Imelda Mtema, Risasi mchanganyko

DAR ES SALAAM: Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye ni mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, amenusurika kupigwa risasi usiku wa manane kwenye nyumba ya mfanyabishara aliyetambulika kwa jina moja la Nadia, Msasani jijini Dar.

  • CHANZO CHAVUJISHA UBUYU
    Tukio hilo lilitokea majira ya saa 8 usiku, walinzi wa nyumba za jirani walishindwa kung’amua mara moja dhumuni lake.
  • ALICHOKIFUATA NDANI USIKU ULE CHAJULIKANA
  • Ray C alipoingia ndani ya geti, alimuomba mlinzi amuitie mwenye nyumba (Nadia).
  • Baada ya kutoka nje mwenye nyumba, nini ambacho Ray C alikifanya, na ni nini alichokifanya mwenye nyumba?
  • Je, kuna nini kati ya Ray C na mfanyabiashara huyo?
  • Risasi Mchanganyiko lina A-Z namna ambavyo mkasa huo wa aina yake ulivyomtokea Ray C?
  • Walinzi wa majirani wazikoki silaha zao.
  • Ni nani aliyemuokoa Ray C kwenye mkasa huo?
  • Mwenye Nyumba afunguka mazito.
  • Ray C naye bila kupepesa macho afunguka yaliyomkuta usiku ule kwa mfanyabiashara huyo.

KUSOMA HABARI HII KWA KINA ZAIDI, JIPATIE NAKALA YAKO YA RISASI MCHANGANYIKO, APRIL 20, 2014

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply