The House of Favourite Newspapers

Rayuu amechoka kuitwa mama stress

0

d48b8fd507L

Msanii wa sinema za Kibongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’.

I am tired! Msanii wa sinema za Kibongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kuwa amechoka kuitwa mama ‘stress’ kutokana na mateso aliyoyapata ya kimapenzi kutoka kwa baadhi ya wanaume aliowahi kuwa nao.

Akipiga stori na Ijumaa Wikienda, Rayuu alitiririka kuwa ameshaumizwa mno na mambo ya malavu hivyo kwa sasa ameamua kukaa nayo mbali ili kuepukana na msongo.

“Nimechoka kuumizwa na wanaume na kuitwa mama stress, sihitaji tena mwanaume labda mpaka baadaye sana,” alisema Rayuu.

Leave A Reply