The House of Favourite Newspapers
gunners X

RAYVANNY AFUNIKA DAR LIVE IDD PILI (PICHA +VIDEO)

MAMBO ni mengi lakini muda nao ni mchache!  Vanny Day ndani ya Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar imefunika baada ya msanii wa kutoka katika lebo ya Wasafi, Rayvanny, kufanya shoo ya aina yake usiku wa kuamkia leo.

Comments are closed.