The House of Favourite Newspapers

RC Chalamila Akutana na Mama wa Mbezi, Amhakikishia Nyumba Haitauzwa – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amerudisha tabasamu kwa Bi Beatrice William ambaye amekumbwa na sakata la kuuzwa nyumba yake ambapo amemhakikishia ofisi yake kwa kushirikiana na TLS imeshaweka pingamizi la kimahakama hivyo nyumba hiyo haitauzwa kwa sasa pia ameongoza changizo kwa ajiri ya kumfariji mama huyo ambapo yeye binafsi ametoa milioni moja huku watu wengine wakijitokeza kwa wingi kumchangia.