RC Chalamila Atimiza Haki Yake ya Msingi ya Kikatiba Kupiga Kura
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametimiza haki yake ya msingi ya Kikatiba baada ya kukamilisha zoezi la kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam.
“Serikali za Mitaa,Sauti ya Wananchi,Jitokeze Kushiriki Uchaguzi”