The House of Favourite Newspapers

RC Chalamila: Nikifa Nizikwe Kama Waislam, Yesu Alipozikwa Sikuona Sanduku, Taomba Maandiko – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa nao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.