RC GAMBO Asimama Na CAG Upotevu Wa Vitabu Vya Mapato MERU


Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania kwa mwaka 2017/18, ilibaini vitabu vitatu vya makusanyo ya fedha vya Halmashauri ya Meru mkoani Arusha kutoonekana hali iliyomfanya Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo kuagiza kukamatwa kwa waliosababisha upotevu huo


Loading...

Toa comment