The House of Favourite Newspapers

RC Makonda Amuomba Radhi JPM – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, RC Paul Makonda amemuomba radhi Radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kwa matokeo ya Taifa Stars hapo Jana na kusisitiza safari ya mapambano ndiyo imeanza.

Vilevile amemshukuru Mhe. Rais kwa nafasi aliyompatia kuja Misri kutafuta ushindi pamoja na Taifa Stars.

MSIKIE MAKONDA AKIZUNGUMZA

Comments are closed.