Michezo RC Makonda Apewa Cheo Ndani Ya Simba Last updated Jan 18, 2020 0 Share MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni shabiki wa Simba, Paul Makonda ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa Bodi ya Wakurugenzi. Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia Ukurasa rasmi wa Istagram ya Simba. Simba SC 0 Share