The House of Favourite Newspapers

RC Makonda: Kuanzia Jumatatu Wanaopanda Daladala Lazima Kuvaa Barakoa – Video

0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema, kuanzia Jumatatu, Aprili 20, 2020 kila anayepanda daladalaa na anayekwenda sehemu ya manunuzi, lazima avae barakoa.

Makonda amesema inabidi watu wanunue ikiwa watashindwa basi wakate leso au Kanga . Huku biashara zote akitaka zifanyike kwenye mfumo wa take away na kukaa umbali wa mita mbili.

 

”Haiwezekani watu wazima, shule zimefungwa, watoto wako nyumbani, wewe unaenda usiku, unakesha Club, halafu unarudi unachekelea kwamba sasa hivi hakuna kazi inayoendelea, unakula bata unahatarisha afya ya watoto wako, unataka tuchukue bakora tukuchape?”- RC Makonda

 

Leave A Reply