The House of Favourite Newspapers

RC Mghwira Ashtushwa Wingi wa Viongozi wa Dini Kuomba Kumiliki Silaha

0


MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Elisha Mghwira ameeleza kushtushwa na kundi kubwa la watu kujitokeza kuomba umiliki wa silaha wakiwemo viongozi wa dini.

 

Katika ibada alizoshiriki kwa makanisa mawili tofauti, Dkt Mghwira pia amezungumzia namna ambavyo Jumuiya zinavyo watenga baadhi ya waumini pamoja na misamaha inayotolewa katika makanisa kwa upande mmoja pekee.

 

Dkt Mgwira ameanza utaratibu wa kutemebelea Makanisa kuongea na washirika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kufikisha maelekezo ya serikali pamoja na kuwaeleza juu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

 

Leave A Reply