RC Mtaka Alivyoupokea Mwenge wa Uhuru Ukitokea Singida



Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe, Anthony Mtaka amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa Singida Mhe. Bilinith Mahenge jana Julai 25, 2021 Wilayani Bahi, Jijini Dodoma kwa ajili ya kukimbizwa na kuzindua miradi mbalimbali katika mkoa huo.

