The House of Favourite Newspapers

Rigwaride Ra Afande – 4

0

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:
“Uvivu wako unaweza kusababisha tukaondoka na giza,” alisema, moyoni nikamkatalia. Afike na giza amekuwa nani yeye..!

“Nimechoka bwana,” nilisema huku nikianza kujitahidi tena ili nione kama atamaliza…
“Ti! Ti! Ti! Ti! Ti! Tiii! Hivi sasa ni saa nane kamili mchana,” mtangazaji wa kwenye ile redio ya nyumba ya jirani alisema…
SHUKA NAYO…

Nilimsukuma yule mwanaume, akaangukia pembeni…
“Haaa! Utadhani upo kazini bwana,” nilimwambia.

Alinishika kwa nguvu na kuniambia nimpe dakika tano tu atakuwa amemaliza. Kwa vile nilikuwa chumbani mwake, nikajua nikisema nikatae angenibaka hivyo ningeumia. Nikakubaliana naye, nikamwambia nampa dakika tano tu.

Akaanza bwana, lakini pia safari hii akatutumuka mpaka nikasikia redio ikisema ni saa nane na nusu na kipindi cha muziki wa kizazi kipya kikaanza. Nikajua ni yaleyale wakati nataka kumsukuma tena ili niondoke na kuondoka ndani ya chumba hicho, ndiyo akafanikiwa kumaliza.

“Da! Sikutaki tena,” nilimwambia kwa sauti yangu iliyojaa hasira.
Nilitoka na kukaa kwenye kiti kwanza. Nikamwangalia kwa macho yasiyoamini. Nilimtafakari yeye lakini pia nikamtafakari Mungu na uumbaji wake. Nilimshangaa yule wa kwanza kutumia dakika chachechache na kumaliza kila wakati halafu huyu kutumia lisaa lizima na kumaliza kwa tabu.

Sasa kwenye kutoka ikawa ishu nyingine kwani sikujua nje alisimama nani! Nilimwomba yule mwanaume anisaidie kutoka kwenda kuangalia akanikatalia…
“We toka tuuu! Kwani unamwogopa nani?”

“Namwogopa yule wa kwanza jamani, toka…”
“We toka, hakikisha unakuwa makini tu,” aliniambia. Nilimshangaa sana. Nilipata picha kwamba, ndani ya nyumba ile waliishi maisha ya kutoheshimiana ndiyo maana yule mwanaume alijiaminisha vile.

Nilifungua mlango huku najitengeneza vizuri nguo na nywele maana nywele zilikuwa timtimu kwa kugalagazwa kitandani.

Nilitoka haraka sana, ile nataka kufika kwenye mlango wa nje, nikashikwa mkono na mtu aliyetoka kwenye chumba kilichopakana na cha yule mwanaume wa pili. Nilishtuka sana, mimi nilijua yule mbaba mwenyewe wa kwanza…
“Ingia…ingia tuongee tafadhali,” alisema…

“Sitaki,” nilimjibu lakini alikuwa amenikamata kwelikweli. Akanizidi nguvu, nikaingia chumbani kwake…
“Usipige kelele, mimi si mtu mbaya,” aliniambia kwa sauti ya chini aliyoielekeza kwenye masikio yangu…

“Unasemaje?” nilimuuliza kwa hasira.
Akaniinamia mpaka sikioni tena maana alikuwa mrefu sana kwangu, akaniambia…
“Unajua wakati uko kwenye chumba cha afande Kipara niliumia sana niliposikia mlio wa kitanda, nikaamua kusimama mlangoni ili ukitoka na mimi nikudake kwa siri, lakini ungetoka na afande Kipara mwenyewe nisingekushika.”

Bado nilikataa. Nilikuwa nimechoka sana kwa wakati huo nilichokuwa nahitaji ni kurudi nyumbani kupumzika.

“Mimi sitaki bwana…”
“Aaa binti…vibaya hivyo! Sasa unadhani mimi nitajipoza vipi kama wewe unanigomea?”
“Mimi sijui,” nilimwambia huku nikijitoa kwenye mikono yake kwa nguvu.

Moyoni niliamini mawili. Moja, wanaume wote kwenye ile nyumba walikuwa na mpango mmoja, kunichangia kwa mtindo ule. Kwa hiyo kila mmoja alijua nimeingia, sasa niko kwenye mechi kitandani na sasa natoka. Au, wakaaji wa mle ndani walizoea kuchukuliana mademu kwa kuzungukana wakitumia pesa zao…
“Simalizi hata dakika kumi,” alisema yule mwanaume wa tatu.

Moyoni nilimwonea huruma. Masikini, mwanaume wa watu, mzurizuri halafu anaongea kwa kwa upole na anachotaka kwangu ni uamuzi wangu ambao haupingwi na mtu, kwa kweli niliamua kukubaliana naye tena kwa bure…

“Lakini isifike dakika kumi kweli,” nilimwambia kwa sauti ya kumuonya mapema…
“Sifiki…da! Hata siamini,” alisema…
“Huamini nini sasa?”

“Kama kweli umenikubalia baby, maana ulivyokuwa ukilalamika chumbani kwa afande Kipara nilijua huyo mtoto ni mzuri sana, sasa kukuona laivu hapa hivi nimekukubali, wewe ni mzuri bwana…umeumbwa ukaumbika,” eti alianza kuniita baby palepale na kuanza kunipamba.

Niliachia tabasamu la kujilazimisha maana mwili ulikuwa hautaki kabisa kuingia kwenye mechi kwa siku hiyo kutokama na mchakachaka niliokutana nao ambao sijawahi hata kuusikia kwa wenzangu.

“Panda basi kitandani baby,” aliniambia kwa upole sana.
Kwa unyonge nilianza kuchojoa huku nikisema…

“Una bahati sana wewe…nimekuonea huruma kwa sababu ya ulivyokuwa ukiomba kama unalia. Halafu shukuru kwetu tumelelewa kutokuwa wachoyo,” nilimwambia sasa nikipanda kitandani baada ya kuchojoa zote.

Alikuja kitandani kama anataka kupitiliza afike dirishani. Lakini ghafla akatoka. Kumbe alisahau kufunga mlango…
“Da! Afande Kipara anapenda kuingia kwangu bila kupiga hodi, angetukuta katikati ya mchezo,” alisema akiwa anarudi kitandani.

Kwa mbali nilijikuta nasisimka kama binadamu. Kama mwanamke, tena mwanamke mwenyewe msichana, kijana kama mimi, damu bado changa! Lakini moyoni nilijiambia…
“Ila mimi ni kiboko…nyumba moja, wanaume watatu tena afadhali ingekuwa siku mbalimbali, leoleo?! Mh!”

Wakati nawaza hivyo, yule mwanaume alinitegesha, nikakaa mkao wa kutengwa…
“Ngo… ngo…afande Mwira,” sauti iliita nje baada ya kugonga mlango…

Je, nini kiliedelea hapo? Usikose kusoma kweli Risasi Jumatano ijayo.

Leave A Reply