The House of Favourite Newspapers

Rihanna Aachia Albamu Yake ya ANTI

0

RiRi karudi tena. Ikiwa ni saa chache baada ya kuachia wimbo wa kwanza kwenye albamu yake mpya na ya nane “ANTI”, wimbo wa “Work” aliomshirikisha Drake. Rihanna ameachia rasmi albamu yake hiyo mpya.

Albamu hiyo yenye nyimbo 13, baadhi ya nyimbo zimetengenezwa na prodyuza Boi-1da ambapo Rihanna amesaidiana na PARTYNEXTDOOR kuandika, ikiwa ni njia moja wapo kwa mwanadada huyo kutaka kurudisha mahusiano ya kikazi na lebo ya 6 God, ambayo alishirikiana nayo kufanya kazi kwenye baadhi ya albamu zake za kitambo ikiwemo “Take Care” ya mwaka 2012 na and “What’s My Name?” ya mwaka 2010.

Video ya “Work” ameishtuti Los Angelesmwanzoni mwa mwezi huu (January) na taarifa zilizopo ni kwamba, huenda Rihanna akakiachia kichupa hicho wiki mbili zijazo.

Ishu sio tu kumuona Rihanna katika muonekano mpya wa ANTI, RiRi tayari aemekwisha achia albamu yake mpya leo.

ANTI TRACKLISTING

1. “Consideration” (feat. SZA) [Tyran Donaldson, Kuk Harrell]
2. “James Joint” [Robert Shea Taylor, Kuk Harrell]
3. “Kiss It Better” [Kuk Harrell, Jeff Bhasker, Glass John, Detail]
4. “Work” (feat. Drake) [Boi-1da, PARTYNEXTDOOR]
5. “Desperado” [Mick Schultz, Kuk Harrell, James Fauntleroy]
6. “Woo” [Hit-Boy, Kuk Harrell, The Weeknd, The-Dream, Travis Scott]
7. “Needed Me” [Frank Dukes, Kuk Harrell, DJ Mustard, Twice As Nice]
8. “Yeah, I Said It” [Timbaland]
9. “Same Ol’ Mistakes” [Kevin Parker]
10. “Never Ending” [Kuk Harrell, Chad Sabo]
11. “Love on the Brain” [Fred Ball]
12. “Higher” [No I.D.]
13. “Close to You” [Brian Kennedy, Kuk Harrell]

Sikiliza wimbo wa Rihanna wa “Work”

Kusikiliza nyimbo zilizomo kwenye ANTI ya Rihanna ingia hapa===>http://smarturl.it/RihANTI

Leave A Reply