The House of Favourite Newspapers

Rihanna aaibishwa na boyfriend wake mpya

0

Nyota wa muziki wa Pop, Rihanna.

New York, Marekani

NYOTA wa muziki wa Pop, Rihanna hivi karibuni alijikuta akiaibika mbele ya mashabiki wake baada ya kuvuja kwa kipande cha video katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha mpenzi wake mpya, Travis Scott akitumia dawa za kulevya aina ya Cocaine.

Katika kipande hicho cha video, Scott alionekana akiwa nyuma ya gari akijidunga dawa hizo huku akiongea maneno akiuliza wako wapi marafiki zake aliowataka kujitokeza waponde raha pamoja aliyokuwa anaipata wakati huo.

“Scott siyo aina ya mtu wa kuwa na Rihanna, hakufanya chaguo sahihi, ona anavyomuaibisha, bado ni mtoto kiakili,” aliandika shabiki mmoja kwenye ukurasa wa Instagram wa Rihanna.

Leave A Reply