Rihanna Ametangaza Ujio Mpya, Ni Mwezi Huu

Mwaka 2016, Rihanna aliiachia ‘Anti’ kama albamu yake ambayo ni ya mwisho mpaka sasa , Rihanna hajawahi kuachia wimbo wake mpya tangu aachie albamu hiyo iliyokuwa na nyimbo kumi na tatu ikiwemo Work na Drake.

Baada ya muda mrefu wa kuwa busy na project za urembo na mitindo, Rihanna ametangaza ujio wa ‘Rihanna’, hiki ni kitabu ambacho kimeandaliwa kwa zaidi ya miaka mitano. Rihanna kupitia ukurasa wake wa instagram ameshare trela ya utambulisho wa kitabu hicho kinachotarajiwa kuingia sokoni mwezi huu.

https://www.instagram.com/p/B3UhciFnHaY/?utm_source=ig_web_copy_link


Loading...

Toa comment