Rihanna Anaanika Mahusiano Yake Mapya

 

JARIDA la Vogue limeripoti kuwa mwanamuziki Rihanna amethibitisha kuwa kwasasa yupo kwenye mahusiano yenye malengo na furaha zaidi kwakua amempata mtu anayempenda.

Miezi kadhaa iliyopota mitandao ya kijamii ililipoti kuwa mwanadada Rihanna anamahusiano ya kimapenzi na Bilionea Hassan Jameel .

Mashabiki zake wameku na maswali mengi ikiwa labda Bilionea Hassan Jamal ameshapigwa kibuti na Rihana au ndio kimya kimya.  Rihana amethibitisha kuwa na hamu ya kupata mtoto.

Loading...

Toa comment