The House of Favourite Newspapers

Rihanna azindua maduka ya bangi

0

rihannapinkStaa wa Pop, Rihanna Robby Fenty.

STAA wa Pop, Rihanna Robby Fenty amezindua maduka yake ambayo yatakuwa maalum kwa uuzaji wa bangi ambapo bangi hizo zitatambulika kama MaRihanna.

Tayari staa huyo ameshapata vibali vya kuuza bangi (MaRihanna) katika majimbo mbalimbali nchini Marekani kama vile Colorado, Washington, Oregon pamoja na Alaska.

Mbali na Rihanna, staa wa Hip Hop, Snoop Doggy naye ana bangi zake anazomiliki zinazojulikana kama Leafs By Snoop ambapo ana duka moja tu katika Jimbo la Colorado linalojulikana kama LivWell.

Leave A Reply