The House of Favourite Newspapers

ROMA KUWAKALISHA RAIS MAGUFULI NA LOWASSA SITI MOJA

0

Staa wa ngoma ya Zimbabwe

Staa wa ngoma ya Zimbabwe ambayo ndiyo homa ya jiji kwa sasa, Ibrahim MussaRoma Mkatoliki’, amesema kuwa ikitokea amepanda daladala ambayo ndani yake kuna siti moja tu iliyo wazi nyingine zote zimejaa, halafu Rais Magufuli na Lowassa wamesimama, atakachokifanya ni kufosi wote wakae, na siyo kumpisha mmoja wapo.

Staa wa ngoma ya Zimbabwe
Rais Wa Jamhuri Wa Muungano Wa Tanzania, Dkt John Magufuli

 

Roma aliyasema hayo, alipokuwa nchini Kenya, kwenye mahojiano maalum aliyofanya na Redio Maisha, ambapo walimuuliza swali hilo na hayo ndiyo yalikuwa majibu yake.

Staa wa ngoma ya Zimbabwe
Waziri Mkuu Wa Zamani, Edward Lowassa

NA ISRI MOHAMED/GPL

Leave A Reply