The House of Favourite Newspapers

Nishushe Dar Live: Roma, Stamina Waweka Historia Dar Live (Pichaz + Videos)

0
Staa wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mkatoliki’ kwa mara ya kwanza ameweka historia katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar live akisamiana na mashabiki.
Roma akiendelea na makamuzi.

Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa Roma

Mwanamuziki Stamina akifanya yake stejini.

Stamina na Roma Mkatoliki wakifanya yao stejini kwa pamoja.

Roma akiingia stejini kwa mwendo wa mateka.

Leave A Reply