The House of Favourite Newspapers

Ronaldo Hapoi Ulaya

0

CRISTIANO Ronaldo ameendeleza umwamba wake kwenye Ligi Kuu England baada ya jana kufunga tena wakati Man United ilipowachana West Ham mabao 2-1.

Ronaldo alifanikiwa kuifungia timu yake bao la tatu kwenye Ligi Kuu England tangu amejiunga nayo lakini likiwa ni la nne kwenye michuano yote.

Ronaldo alifunga bao la kwanza kwa United, huku la pili kwa timu hiyo likifungwa na Jesse Lingard ambaye naye anaonyesha kiwango Katika mchezo mwingine, Chelsea walifanikiwa kuwachapa Spurs mabao 3-0 kwenye Ligi Kuu England, huku mabao ya Chelsea yakifungwa na Thiago Silva, Ng’olo Kante na Anthony Rudiger.

MANCHESTER, England.

Leave A Reply