The House of Favourite Newspapers

Rosa Ree: Wasanii wa Hip Hop Wananitaka! (Video)


rosa-2

Mkali  wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree akifanya mahojiano na Global TV Online katika Ofisi ya Global Publishers, Bamaga – Mwenge, Dar.

rosa-3

…Mahojiano yakiendelea.

rosa-5 rosa-7 Msanii wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree akiwa katika mapozi baada ya kufanya mahojiano.

rosa-9 rosa-6

Akijiachia na katika pozi na wafanyakazi wa Global TV Online.

MKALI wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa, kuna wanamuziki wengi wa Hip Hop wanamtaka kimapenzi kupitia Global TV Online.

Rosa Ree anayebamba na Ngoma ya One Time alisema kuwa, kwa sasa hana uhusiano na mwanaume yeyote japo kuna wakali kibao wa Muziki wa Hip Hop wamekuwa wakimtaka kimapenzi.

“Nilishawahi kutongozwa na wasanii wenzangu wengi tu lakini kikubwa sitaki kuingia katika uhusiano kwani naamini kuwa na mtu unayemtaka ni mipango ya Mungu na siku ikitokea nitakuwa naye,” alisema Rosa Ree ambaye pia ni memba wa Lebo ya The Industry.

Stori: Credit to Andrew Carlos

Comments are closed.