Rosa Ree Afichua Mapya Kuhusu Mchumba Wake – “Wanasema Eti Mimi Mgumu”-Video
GLOBAL TV imepiga stori na mwanamuziki, Rosa Ree, kuhusiana na muziki wake lakini pia uhusiano wake alioamua kuuweka wazi kwa sasa na mchumba wake ambaye amemvalisha pete hivi karibuni.