The House of Favourite Newspapers

Rose Ndauka Alamba Shavu Mfuko wa GEPF

0

GEPF na Rose Ndauka (1)Mkuu wa kitengo cha masoko, Bw. Aloyce Ntukamazina akiwaeleza waandishi wa habari juu ya mkataba walioingia na Bi Rose Ndauka kama balozi mpya 2016.
GEPF na Rose Ndauka (2)Balozi mpya wa Mfuko wa GEPF, Rose Ndauka akitoa neno la shukurani pamoja na kuelezea mikakati yake ya kuutangaza Mfuko wa GEPF.
GEPF na Rose Ndauka (3)Mkuu wa kitengo cha Masoko, Bw. Aloyce Ntukamazina na Balozi mpya wa GEPF, Rose Ndauka wakitia saini mkataba huo.
GEPF na Rose Ndauka (4)Baada ya kutia saini rasmi Bw. Aloyce Ntukamazina akimkabidhi rasmi mkataba huo tayari kwa kuanza kazi.

Leave A Reply