The House of Favourite Newspapers

Rose Ndauka asherehekea siku ya kuzaliwa kwake

0

 

NDAUKA (1)

Rose Ndauka akizima mshumaa kabla ya kuanza zoezi la kukata keki.

NDAUKA (2)

…Akisaidiana kukata keki na mmoja wa wasanii wenzake waliojitokeza kwenye hafla hiyo.

NDAUKA (3)

Oscar Ndauka akilishwa keki na Rose Ndauka ambaye ni mtoto wa kaka yake.

NDAUKA (4)

Msanii chipukizi wa lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WBC’ aitwaye Harmonizer akilishwa keki na Rose.

NDAUKA (5)

 Rose akipewa zawadi ya keki na Harmonizer kwa niaba ya Wasafi Classic Baby.

NDAUKA (6)

Msanii wa kike, Ruby, akitunzwa na Rose Ndauka wakati akitoa burudani kwenye hafla hiyo.

NDAUKA (7)

Rose akiimba na Ruby.

NDAUKA (8)

Baadhi ya wadogo zake Rose ‘wakimchumu’.

NDAUKA (9)

Ruby (katikati), akishangaa jambo kwenye simu na marafiki zake.

NDAUKA (10)

Rose akiimba wimbo wa ‘Bethidei’ na marafiki zake.

NDAUKA (11)

…Akisalimiana na mmoja wa marafiki zake wakati akiingia ukumbini hapo.

NDAUKA (12)

Wadau wa Wasafi Classic wakiwa kwenye pozi wakati wa bethidei hiyo.

NDAUKA (13)

Rose akiwa katika pozi na marafiki zake.

NDAUKA (14)

Amisa Mobeto (katikati), akipozi na baadhi ya marafiki zake waliojitokeza kwenye bethidei hiyo.

NDAUKA (15)

Rose Ndauka akicheza na Ruby.

NDAUKA (16)

Queen Doreen (katikati), akisalimiana na Jack Wolper wakati alipokuwa akiingia ukumbini hapo huku akiwa ameongozana na Idris Sultan.

NDAUKA (18)

Rose akitunzwa fedha na wadogo zake.

STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka, usiku wa kuamkia leo aliadhimisha siku ya kuzaliwa kwake katika ukumbi wa Jozi Village uliopo Msasani jijini Dar es Salaam, ambapo aliweza kunywa na kufurahi na baadhi ya ndugu na marafiki zake aliokuwa amewaalika.

Mbali na burudani mbalimbali zilizokuwa hapo,  Rose alipata fursa ya kukata keki na kuwalisha baadhi ya ndugu na marafiki, huku akitumia muda huo kucheza muziki na  kuwashuhukuru wote waliojitokeza kufurahi naye.

(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

Leave A Reply