ROSE NDAUKA “WASANII Wanaopotosha Jamii Wajifunze” – Video
MSANII na Mfanyabiashara, Rose Ndauka amezindua saloon ambayo itakua inashughulika na kila kitu ikiwemo makae up, kunyoa, kusuka kwa jinsia zote huku akiwaasa wasanii ambao wana fanya vitu ambavyo vinapotosha jamii wajifunze.


Comments are closed.