RPC Muroto Anasa Makahaba, Bastola… “Wameangukia Pua” – Video

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Giles Muroto, amesema Jeshi hilo mkoani humo limefanikiwa kukamata bunduki aina ya bastola aina ya Bereta iliyokamatwa maeneo ya Nkuhungu pamoja na mtu mmoja ambaye alikutwa na silaha hiyo.

 

Pia RPC Muroto amesema wanaendelea na operesheni ya kutokomeza madada poa mkoani humo na katika hatua za awali wale walionaswa wameshafungwa miezi sita, ambapo ametoa onyo kwa wasichana wengine wanaoendelea kufanya biashara hiyo kuacha mara moja kabla mkono wa sheria haujawafikia.

 


Loading...

Toa comment