Rubani Anusurika Kufa Akidondokea Nyanya za Umeme

RUBANI wa ndege ya kijeshi nchini Ufaransa amenusurika kufa baada ya kudondokea nyaya za umeme wakati ndege hiyo inaanguka. Image result for parashuti

 

Taarifa zinasema ndege hiyo ilianguka huko Pluyigner, Ufaransa,  na marubani wote wawili waliruka na parachuti ilivyokuwa inashuka karibu na  eneo la Brittany.

MAXPPP/PA IMAGES

Rubani mmoja alianguka katika nyanya za umeme akanusurika kuuawa na umeme huo wenye nguvu za  volts 250,000 ambapo mwengine alipona.


Loading...

Toa comment