The House of Favourite Newspapers

Ruben Enaje Aliyepigwa Misumari Live Kama Yesu kwa Miaka 32

MUIGIZAJI Ruben Enaje (58) ambaye kwa miaka 32 iliyopita amekuwa akipigwa misumari ya kweli na kuwambwa msalabani kwenye maadhimisho ya kifo cha Yesu Kristo kila Ijumaa Kuu ya Mwaka, amesema huwa hasikii tena maumivu katika vidonda vyake akipigiliwa misumari hiyo.

Rubeni ambaye ni Raia wa Ufilipino, amekuwa akifanyiwaa tendo hilo kila mwaka kuelekea Sikukuu za Pasaka.

Comments are closed.