Ruby Afungua Mwaka Na ‘Alele’ Wimbo Mpya

 

Muda muafaka wa kufungua mwaka na zawadi ya wimbo mpya, ‘Alele’ toka kwa mwanadada ‘Ruby’

 

Wimbo umetengenezwa na Bob Manecky toka Am Records.Download chini kabisa kama umeupenda.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Isikilize hapa.

 

 

DOWNLOAD AUDIO|MP3


Loading...

Toa comment