The House of Favourite Newspapers

Rucky Baby Akiri Mapedeshee Kufulia

0
                 Sexy lady wa Bongo Fleva, Rukia Jumbe ‘Rucky Baby’.

NA GABRIEL NG’OSHA | AMANI | SHOWBIZ XTRA

Sexy lady wa Bongo Fleva, Rukia Jumbe ‘Rucky Baby’ amefunguka kuwa wale mapedeshee wa mjini waliokuwa wanawahonga minoti mabinti hata wao kwa sasa wamefulia.

Akizungumza na Showbiz Xtra, Rucky Baby alisema kuwa, kutokana na hali ngumu ya kiuchumi, hata wale mapedeshee na mashuga dady waliokuwa wanahonga vibinti hovyo kwa sasa hawaonekani mjini.
“Fedha hakuna, hata wanawake waliokuwa wamezoea kuvuta mpunga kwa mapedeshee na mashuga dady wao, kwa kipindi hiki wamefulia kinoma,” alisema.

Leave A Reply