Video: Rungwe Wamchongea Mo Dewji Kwa Mzee Wasira – “Huyu Mohammed Ni Nani?”
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira amemshukia mmiliki wa Kampuni ya Mohamed Enterprises, Mohamed Dewji almaarufu Mo Dewji kwa madai ya kutelekeza mashamba makubwa ya chai aliyopewa na serikali wilayani Rungwe.