Rwanda: Kagame awakamata majenerali watatu wa jeshi

Rais Paul Kagame wa Rwanda

MAJENERALI  Joseph Nzabamwita (kusho juu, picha ya chini), Fred Ibingira (kulia juu) na Emmanuel Ruvusha, wamekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi majumbani mwao kwa amri ya Rais wa Rwanda, Jenerali  Paul Kagame.

Tukio hili linathibitisha sababu ya Kagame kufunga mpaka kati ya Rwanda na Uganda.  Nzabamwita ni Katibu Mkuu wa Shirika la Usalama wa Taifa ambapo Ibingira ni ofisa wa nne kwa cheo chini Rwanda akiwa jenerali kamili.  Ruvusha ni meja-jenerali.

Loading...

Toa comment