The House of Favourite Newspapers

Sabby: Napiga goti nipate mume

IMG20140822WA0057Msanii wa Bongo Movies, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’.

Na Imelda Mtema

MAOMBI! Msanii wa Bongo Movies, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ameliambia gazeti hili kuwa anapiga magoti akimuomba Mungu ampatie mume bora na siyo gumegume wa kumsumbua akili.

Sabby alisema kuwa alishaingia kwenye ndoa lakini ilimshinda kutokana na vituko vya mwanaume hivyo hawezi kurudia kosa ndiyo maana ameamua kupiga goti kwa kuwa mume bora anapatikana kwa Mungu.

Comments are closed.