SAFARI YA MWISHO YA MWANDISHI WA GLOBAL, MRESSY – VIDEO

ALIYEKUWA mwandishi wa Global Publishers ambaye alikuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Champion na Spoti Xtra, Ibrahim Mressy, amezikwa leo katika makaburi ya Msemwa, Kinyerezi Kichangani jijini Dar es Salaam.

 

Mressy alifariki jana Jumatano, Julai 10, 2019 Tabata jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu baada ya kuugua ghafla.

 

 

TAZAMA SAFARI YA MWISHO YA MRESSY


Loading...

Toa comment