The House of Favourite Newspapers
gunners X

Live: Said Maulid ‘SMG’ Amfungukia Kocha wa Yanga, Usikose Kutazama Spoti Hausi

0

Watangazaji wa kipindi cha Spoti Hausi kutoka kushoto Saleh Ally, Said Maulid (Mchezaji wa Yanga wa zamani), Philip Nkini, Elius Kambili na Wilbert Moland.

KIPINDI cha Spoti Hausi leo kitakuwa mubashara na mchezaji wa Yanga wa zamani Said Maulid ‘SMG’ amefunguka historia yake ya mpira na Kocha wa Yanga, George Lwandamina.

#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni
Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Usikose leo Oktoba 5, 2017, Saa 10:00 Jioni

SpotiHausi: Mtazame Hans Poppe wa Simba Akifunguka Mazito Soka la Bongo

Leave A Reply