Wakili Ndege Kukamatwa ‘Sauzi’: Mlipeni Mkulima Fedha Zake – Video

MBUNGE   jimbo la Ulanga, mkoani Morogoro,  Goodluck Mlinga, ametoa pendekezo akimwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuwaalika bungeni mawakili na wanasheria wote waliokwenda Afrika Kusini kuitetea ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa imezuiliwa nchini humo kwa amri ya mahakama ili kumlipa mkulima Stain, aliyekuwa anaidai serikali ya Tanzania kiasi cha Shilingi bilioni 70.

 

Mlinga ameomba mawakili hao waitwe ili bunge liwapongeze kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kuhakikisha ndege inarudi nchini bila hata ya kulipa shilingi mia moj, ambapo mahakama hiyo imemtaka Mzungu huyo kuilipa Tanzania fedha ya usumbufu wa kesi hiyo,


Loading...

Toa comment