The House of Favourite Newspapers

Sakina Lyoka asherehekea ‘bethidei’ yake na Mashauzi Classic

0

1

Mtangazaji wa Clouds TV, Sakina Lyoka (kushoto), akisaidiana kukata keki na mama yake mzazi.

2Sakina akimlisha keki mama yake mzazi.

3Mama Sakina akimlisha keki mwanaye.

4Profesa Lyoka, baba mzazi wa Sakina, akilishwa keki na mwanaye.

5Sakina akimtunza mama yake fedha muda mfupi baada ya kundi la Mashauzi Classic kupiga wimbo wa Mama Nipe Radhi na kuinuka kucheza wimbo huo.

6Msanii wa Bongo Fleva, Tunda Man, akilishwa keki.

7Keki ya sherehe ikiwa mezani kabla ya kukatwa.

MTANGAZAJI wa kipindi cha Ng’aring’ari kinachorushwa hewani kupitia Clouds TV, Sakina Lyoka, usiku wa kuamkia leo alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, huku bendi ya Mashauzi Classic ikitumbuiza.

Leave A Reply