The House of Favourite Newspapers

Sakina lyoka Mtangazaji mwenye kipaji cha kipekee

0

sakina (1)Mtangazaji Sakina Lyoka

Leo katika Mpaka Home tunaye mtangazaji mwenye kipaji pekee ambaye anatangaza katika Kipindi cha Ng’aring’ari katika Kituo cha Clouds, Sakina Lyoka ambaye ameolewa na kujaliwa kupata watoto watatu wakike wawili Memo, Rehema na Elieza.

Mwandishi wa kolamu hii alipata nafasi ya kwenda nyumbani kwake Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam ambako huko akamkuta akifanya shughuli zake za nyumbani na kumpiga picha mbalimbali. Hizi ni baadhi ya picha hizo.

Leave A Reply