The House of Favourite Newspapers

Samatta, Ulimwengu, Watua Nchini

NAHODHA wa timu ya Taifa ya ya Tanzania, Mbwana Samatta anayecheza katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na mshambuliaji wa Al Hilal ya Sudan Thomas Ulimwengu wametua nchini leo alfajiri kujiunga na kambi ya timu ya Taifa inayojiandaa na mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon dhidi ya Uganda.

 

MSHAHARA wa Kagere VS Makambo 12.5Milioni, 4 5M

Comments are closed.